Hosea 11:10

10 aWatamfuata Bwana;
atanguruma kama simba.
Wakati angurumapo,
watoto wake watakuja wakitetemeka
kutoka magharibi.
Copyright information for SwhNEN